Mwanamke wa kitanzania anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar...
KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya nchini, kimemkamata mwanamke mmoja Mtanzania akiwa amebeba kete 63 za dawa za kulevya aina ya heroine. Mwanamke huyo, Salama Mzara mkazi wa Mbagala,...
View ArticleMASOGANGE,,,, NAOGOPA MUME WA MTU SUMU
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu. Agnes Jerald ‘Masogange’....
View ArticleRais Kikwete atangaza jumatatu januari 13 2014 ni siku ya mapumziko...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday)...
View ArticlePicha: Sherehe za miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani...
View ArticleCHADEMA yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwa...
Kama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili na usaliti dhidi ya chama, hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe...
View ArticleTaarifa muhimu kuhusu kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea-...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) litaandiksiha vijana wa kujiunga na JKT kwa kujitolea kuanzia Januari 2014. Nafasi hizo zimetolewa kwa Tanzania Bara na Visiwani. Usaili utaanzia ngazi za Wialaya hadi...
View ArticleKauli ya UVCCM kuhusu baadhi ya wana CCM wanaojinadi kugombea nafasi za uongozi
Kwa kipindi kirefu sasa vijana ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia na kusikia kauli na vitendo vya baadhi ya wanachama wa CCM vinavyoashilia ukiukwaji wa makusudi wa maadili, miiko na...
View ArticleWema Sepetu na Diamond wajirekodi wakifanya yao kitandani
Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu amenaswa akimrekodi video baby wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Chanzo cha kuvuja...
View ArticleMbunge Ndesamburo ajitosa kumtetea Lowassa.. Aitaka CCM imwache aendeleze...
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiache kumsakama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kwa sababu tu ya kutaka kutimiza ndoto yake. <!--Ads and...
View ArticleMgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto wasababisha mauaji ya watu 13...
MZAHA unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa kuamkia jana....
View ArticleMchungaji awaamuru waumini wake wale majani kama mbuzi ili waweze kuwa karibu...
Umaskini, magonjwa na matatizo mengine yanayowakabili binadamu, yamewafanya waamini kila kitu wanachoambiwa na viongozi wao wa dini kama njia ya kuyaondoa. Muumini akila majani ili kuwa karibu na Mungu...
View ArticleSad News: Jambazi laua watu watatu muda huu akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa...
Kamanda Zelothe Stephen ** Habari za hivi punde zinasema kuwa watu watatu akiwamo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi muda mfupi...
View ArticleMzee Mwinyi ndo mgeni Rasmi wa sherehe za Maulid katika mkoa wa Dar es...
RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za Maulidi Kimkoa, Dar es Salaam zinazofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Sikukuu ya Maulid...
View ArticleRais Kikwete aomba msaada kwa serikali ya China kusaidia kupanga miji nchini
Rais Kikwete aomba msaada wa China kupanga miji nchini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameiomba Jamhuri ya Watu wa China kusaidia mipangomiji katika baadhi ya...
View ArticleCCM wamteua Mahmoud Thabit Kombo kuwania uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki...
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mahmoud Thabit Kombo, kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi katika Jimbo la Kiembesamaki. Jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa mwakilishi wake,...
View ArticleBaada ya Mbowe kutishia kumshitaki Zitto Kabwe mahakamani, Zitto ajibu mapigo...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema anamsubiri Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mahakamani. Zitto ametoa kauli hiyo siku moja baada ya Mbowe kutangaza kumburuza...
View ArticleWanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM ) wafunga barabara ya...
Polisi mkoa wa Kinondoni imetoa onyo kali kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutokana na kufunga barabara ya Mandela na kurusha mawe wakidai kukatiwa umeme kwa...
View ArticleLoveness Diva, B 12 na Adam Mchomvu wapigwa chini Clouds Fm
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho... Habari za chini kwa chini kutoka kwa...
View ArticleRais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa Ikulu jijini Dar
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka...
View ArticleWaziri Mkuu, Mizengo Pinda aelekea Wilaya ya Kiteto Arusha kutafuta suluhu ya...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anakwenda Wilaya ya Kiteto, Arusha kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi yaliyosababisha vifo vya watu 10....
View Article