MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema anamsubiri
Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli
hiyo siku moja baada ya Mbowe kutangaza kumburuza mahakamani, kutokana
na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo. “Nasema sitaki malumbano
na kiongozi yeyote, nachotambua masuala ya mahakamani yanajibiwa
mahakamani na si vinginevyo,” alisema
↧