Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua
Mahmoud Thabit Kombo, kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi katika Jimbo
la Kiembesamaki.
Jimbo hilo limekuwa
wazi baada ya aliyekuwa mwakilishi wake, Mansoor Yussuf Himid, kufukuzwa
uanachama kwa madai ya kwenda kinyume na maadili na sera za CCM.
Akitangaza
uamuzi huo jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
↧