Rais Kikwete aomba msaada wa China kupanga miji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameiomba Jamhuri ya Watu wa China kusaidia mipangomiji katika baadhi ya maeneo ya kimkakati ya Tanzania na China imekubali kuleta timu ya wataalam kufanya tathmini katika maeneo hayo yote ama baadhi ya maeneo hayo ili kujua mahitaji kamili ya mipangomiji ya
↧