WAFANYABIASHARA WAMSIHI RAIS KIKWETE KUUNDA TUME KUHUSU MASHINE YA EFD
JUMUIYA ya wafanyabiashara, imemuomba Rais Jakaya Kikwete kuunda tume maalumu itakayoshirikisha wadau mbalimbali wa sekta ya uchumi nchini, ambayo itafanya uchunguzi wa kina wa mashine za kielektroniki...
View ArticleNEWS..... MAJAMBAZI WATATU WACHOMWA MOTO NA KUUAWA MOROGORO VIJIJINI
WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo baada ya kuvamia duka la mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa, kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini. Jumla ya...
View ArticleMAMBO YA JOHARI YAWAPAGAWISHA RAY NA CHUCHU HANS
HUKU Ray na Chuchu Hans wakionekana penzi lao limepamba moto, mpenzi wa zamani wa Ray, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuwarusha roho wawili hao baada ya kutupia mtandaoni picha inayomuonesha...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AFUNGUKA NA KUWAONYA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu...
View ArticleLULU; HII NI SUPRISE KWAKO MAMA
MSANII wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mwanzoni mwa wiki hii alimshangaza (surprise) mama wa mpenzi wake wa zamani, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa wakati alipokuwa akisherehekea miaka 58...
View ArticleNINI KINACHASABABISHA WANAWAKE KUTOPATA MIMBA?
TUNAPOSEMA tatizo la kutopata ujauzito ina maana mume na mke au watu walio katika uhusiano wa kutafuta ujauzito ndani ya mwaka mmoja lakini wameshindwa. Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini...
View ArticleWATU WATATU WASHIKILIWA NA POLIS KWA TUHUMA ZA KUMPIGA NA KUMJERUHI...
Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Mwenyekiti wa Chadema wilayani Temeke, Joseph Yona, ambaye baadaye, alitelekezwa Ununio,...
View ArticleDR SLAA AWASHA MOTO MWINGINE MKALI
KATIBU MKUU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameibua madudu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba vijana milioni nne watakosa fursa ya kupiga kura baada ya tume...
View ArticleKAULI YA UPINZANI YA AWALI KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA UMEME
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), katika kikao chake cha tarehe 10 Desemba 2013 pamoja na mambo mengine, ilitoa maamuzi ya ongezeko la bei za umeme kwa...
View ArticleJENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR LATEKETEATEKETEA KWA MOTO MKUBWA
Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa mchana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa....
View ArticleRAIS WA CAR AJIUZULU
Rais wa mpito wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, amejiuzulu kufuatia shinikizo kali na kukosolewa kwa mwendo wake wa kujikokota katika kusuluhisha mgogoro wa kidini unaotokota nchini humo....
View ArticleMAAJABU....... MTU HUYU AZINDUKA KUTOKA CHUMBA CHA MAITI
Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamume mmoja aliyezinduka akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali moja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka mji mkuu...
View ArticleWANAJESHI WA SUDANI KUSINI WAFANIKIWA KUUKOMBOA MJI WA BENTIU
wananchi wa sudan kusini Taarifa kutoka Sudan Kusini zasema kuwa wanajeshi wa taifa hilo wamechukua udhibiti wa mji wa Bentiu kutoka kwa waasi watiifu kwa aliyekuwa makamu wa Rais...
View ArticleDUH,... HII KALI KASHFA YA MAPENZI YAMWANDAMA RAIS WA UFARANSA,,,, HOLLANDE
Rais wa Ufaransa François Hollande, ametishia kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo lililochapisha taarifa za uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja...
View ArticleZitto Kabwe atoa kauli nzito.....Asema wapinzani ( Dr. Slaa ) wakishika dola...
ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametoa kauli nzito, baada ya kusema viongozi wa vyama vya siasa wanaopekua...
View ArticleKesi ya Jack Patrick kuanza kusikilizwa mwaka 2016....Wachina wampa mwaka...
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Mrembo huyo alikamatwa Desemba...
View ArticleUnyama: Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke ambaye chama hicho kinamtuhumu...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph Yona ambaye chama hicho kinamtuhumu kushirikiana na CUF kumuunga mkono Zitto Kabwe amepigwa na watu...
View ArticleBaadhi ya picha kutoka nje ya mahakama kuu Dar kabla ya hukumu ya Zitto Kabwe
Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa. <!-- adsense -->
View ArticleZitto Kabwe ashinda hukumu ya kesi yake.....Mahakama yaizuia kamati kuu ya...
LEO macho na maskio ya watanzania hasa wafuasi na wapenzi wa CHADEMA yalielekezwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,pale ambapo Jaji wa Mahakama hiyo Jaji John Utumwa alikuwa...
View ArticleMwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto Kabwe ajiunge na CCM au CUF...
Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi. Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri...
View Article