Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na
uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu
Mkuu wake, Zitto Kabwe.Mapema wiki hii, wafuasi wa Chadema walipambana na wale wanaodaiwa kuwa
wafuasi wa Zitto katika eneo la Mahakamu Kuu wakati kesi hiyo ikiendelea
kusikilizwa na
↧