MSANII wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mwanzoni mwa wiki hii
alimshangaza (surprise) mama wa mpenzi wake wa zamani, marehemu Steven
Kanumba, Flora Mtegoa wakati alipokuwa akisherehekea miaka 58 tokea
alipozaliwa.
Keki aliyoleta Lulu kwa ajili ya mama Kanumba.
Kumshangaza huko kumekuja baada ya Lulu kufika nyumbani kwa mama
Kanumba, Kimara Temboni jijini
↧