TUNAPOSEMA tatizo la kutopata ujauzito ina maana mume na mke au watu
walio katika uhusiano wa kutafuta ujauzito ndani ya mwaka mmoja lakini
wameshindwa. Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani kiwango
cha chini ni mwaka mmoja.
Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo
ya kuwa na familia. Mwanamke na mwanaume wote wanahusika katika tatizo
hili,
↧