HUKU Ray na Chuchu Hans wakionekana penzi lao limepamba moto, mpenzi
wa zamani wa Ray, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuwarusha roho
wawili hao baada ya kutupia mtandaoni picha inayomuonesha kidoleni
amevaa pete ya ndoa.
Wakizungumza na Ijumaa baadhi ya watu waliobahatika kuiona picha hiyo
wamesema kuwa kitendo cha Johari kuweka picha hiyo ni
↧