Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

NEWS..... MAJAMBAZI WATATU WACHOMWA MOTO NA KUUAWA MOROGORO VIJIJINI

$
0
0
 WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo baada ya kuvamia duka la mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa, kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini. Jumla ya majambazi hao walikuwa 10 ambapo saba walifanikiwa kutokomea na watatu kutiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali walioamua kuwatia moto! chanzo; gpl <!-- adsense -->

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles