JUMUIYA ya wafanyabiashara, imemuomba Rais Jakaya Kikwete kuunda tume
maalumu itakayoshirikisha wadau mbalimbali wa sekta ya uchumi nchini,
ambayo itafanya uchunguzi wa kina wa mashine za kielektroniki za EFD.
Wafanyabiasha hao, wamesema wamefikia hatua hiyo baada ya kutoshirikishwa wakati wa mapendekezo ya matumizi ya mashine hizo.
Ombi
hilo lilitolewa mjini Dar es Salaam jana
↧