KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, amekana na kusisitiza kuwa hajawahi kuwasiliana na
Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Temeke, Joseph Patrick ili
kumshinikiza ajiuzulu uongozi.
Akizungumza na MTANZANIA mjini
Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema taarifa zinazotolewa na Patrick
kuwa viongozi wakuu wa chama hicho walimlazimisha ajiuzulu
↧