Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFISA AKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA HARAMU YA WANYAMA PORI

Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Singida, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya wanyamapori.Afisa huyo, Augustino Lori alikamatwa jioni ya siku ya Jumatatu baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MANENO YA WASTARA; NATAKA KUOLEWA NA BILLIONEA

 IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. ZITTO KABWE AENDELEA KUWA KIKWAZO CHADEMA

HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAY WA MITEGO AMWAGWA NA MCHUMBA WAKE.........

UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika.            Nay akiwa na mpenzi wake Siwema.   Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA SASA,,, NDOA YA KARNE BONGO HIYOOO....

Mwaka mpya mambo mapya.Katika tukio linaloweza kuitwa kama ndoa ya karne, mzee mmoja mwenye umri wa miaka 91, Nkwabi Ngobola Kapimbi, wiki iliyopita alifunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AJIANGUSHA KWA WEMA KWA KUAMUA KUMNUNULIA JUMBA LA KIFAHARI LA...

STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE,,,, NAOGOPA MUME WA MTU SUMU

  VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.                 Agnes Jerald ‘Masogange’....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS AANGUKA, AZIMIA, VIBAKA WAMFANYA KUWA SHEREHE

  Ama kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO; JAMANI SITAKI MALUMBANO

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa hataki malumbano na mtu. Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya  Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GEA HABIB WA CLOUDS FM ABARIKIWA MTOTO

                        Gea Habib wa Clouds FM.  MTANGAZAJI nyota wa miondoko ya taarab Gea Habib wa Clouds FM amejifungua mtoto wa kiume jana jijini Dar es Salaam  katika hospitali ya Kinondoni (Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIANI KWA KUMWITA MKUU WA NCHI KIAZI,,...

 MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa  na polisi na kufunguliwa  mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO MAWAZIRI WAPYA,,,,,,

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutangaza majina ya mawaziri watano mapema wiki hii,taarifa za ndani kutoka Ikulu ya Rais Kikwete iliyonaswa na Habarimpya.com zinaeleza kwamba, zoezi hilo limepangwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALI.... KAMA YAKIKUKUTA KAMA HAYA UTAFANYAJE?

  UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo. Kama wewe ni Mume au Mke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOYCE KIRIA NAE AWACHAMBUA WAKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCM MKE WA KILEO BI JOYCE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU KATIKA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ASIMAMISHWA

 Kamati ya utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, imemsimamisha Katibu wake, Jordan Membe, kwa madai ya kwenda kinyume na katiba ya Chama.   Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE...JOHN MYIKA NAE KAJIUZULU?

Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu  Mkuu wa CHADEMA. Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YATOKEA YAUA WAWILI NA KUJERUHI NANE HUKO MKATA

 WATU wawili wamefariki dunia hapo hapo na wengine nane kujeruhiwa baada ya gari aina ya  Noah walilokuwa wamepanda kutaka kulipita gari lililkuwa mbele yake na kukutana na lori aina ya Volvo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTANET YAPIGWA MARUFUKU NA AL SHABAAB KUTUMIWA NCHINI SOMALIA

Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia internet.     Wapiganaji hao wametoa onyo kwa kampuni zote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA STAILI HII,,,,, SIMU NI KERO KUBWA; MUME AMJERUHI VIBAYA MKEWE KWA...

 Kareny Masasy, HabariLeo, Shinyanga — MWANAMKE mkazi wa Kata ya Lubaga, Sophia Haji (22) Manispaa ya Shinyanga anadaiwa kupigwa na mumewe na kusababishiwa majeraha makubwa kwa kile kilichodaiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR. SLAA AMKANA KADA WA CHADEMA ALIYETEKWA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amekana na kusisitiza kuwa hajawahi kuwasiliana na Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Temeke, Joseph Patrick ili...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>