Jana
mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika
(Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Ofisa
Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569) alijibu kwa
kukanusha kuhusu taarifa hizo na kuongeza kuwa kwa muda
uliotajwa, Mhe. Mnyika alikuwa katika shughuli za chama akitimiza
majukumu yake.
Akasema taarifa hizo ni
↧