Kamati ya utendaji ya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nachingwea, mkoani
Lindi, imemsimamisha Katibu wake, Jordan Membe, kwa madai ya kwenda
kinyume na katiba ya Chama.
Habari kutoka wilayani humo
zilizothibitishwa na uongozi wa chama hicho, ngazi ya wilaya na ile ya
mkoa, zinaeleza Membe amesimamishwa kutokana na kukiuka maadili ya
uongozi, ikiwa ni pamoja
↧