WATU wawili wamefariki
dunia hapo hapo na wengine nane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah
walilokuwa wamepanda kutaka kulipita gari lililkuwa mbele yake na
kukutana na lori aina ya Volvo na kugongana uso kwa uso na kusababisha
vifo hivyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Costastine Massawe athibitisha kutokea tukio hilo jana na kueleza tukio hilo lilitokea majira ya
saa tano
↧