STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa
msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari
mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii.
KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko
kufuatia taarifa kwamba,
↧