Mwaka mpya mambo mapya.Katika tukio linaloweza kuitwa kama ndoa
ya karne, mzee mmoja mwenye umri wa miaka 91, Nkwabi Ngobola Kapimbi,
wiki iliyopita alifunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78) mbele
ya mchungaji Thobias Shilole wa Kanisa la Maombezi huko Kibaha mkoani
Pwani.
Mzee Nkwabi akipozi na mkewe Maria.
Tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi, lilitokea baada
↧