UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa
kuvunjika.
Nay akiwa na mpenzi wake Siwema.
Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema
kukuta meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego
katika nyakati tofauti.
Chanzo hicho
↧