HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,
John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa
Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani
ya chama chake.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu wakati akisubiri hukumu ya kesi yake juzi.
Awali, ilionekana kama uamuzi
↧