IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe,
marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma
amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji
lazima awe mtu mwenye fedha zake.
Wastara Juma.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es
Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa
↧