Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Singida, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya wanyamapori.Afisa huyo, Augustino Lori alikamatwa jioni ya siku ya Jumatatu baada ya kukutwa amehifadhi ndege 12 aina ya flamingo, na silaha mbili aina ya bunduki, nyumbani kwake, kinyume cha sheria.Kamanda wa Polisi mkoani Singida, Geoffrey Kamwela amesema afisa huyo anayepaswa
↧