Gea Habib wa Clouds FM.
MTANGAZAJI nyota wa miondoko ya taarab Gea Habib wa
Clouds FM amejifungua mtoto wa kiume jana jijini Dar es Salaam katika
hospitali ya Kinondoni (Kwa Dr Mvungi) kwa njia ya upasuaji na sasa
anaendelea vizuri yeye na mtoto wake.
Huyu anakuwa ni mtoto wa tatu kwa Gea ambaye pia husikika katika
kipindi cha Leo Tena kinachosikika
↧