MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa
hataki malumbano na mtu. Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya
Mahakama Kuu Kanda ya
Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo chochote
kujadili uanachama wake. Akizungumza na MTANZANIA mjini Dar es Salaam
jana, Zitto alisema ameamua kukaa kimya ili kupata muda mzuri wa
kutafakari misukosuko ya kisiasa
↧