Ama kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na
kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo
badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu vyake vyote.
Kwa
mujibu wa mashuhuda, mrembo huyo ambaye alikuwa katika mishemishe za
kawaida alidondoka ghafla akiwa Mitaa ya Nyakato jijini hapa mbele ya
kituo cha polisi, Januari
↧