MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha
Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa na polisi
na kufunguliwa mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo,
Michael Satta, kwa kumwita kiazi.
Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo.
Katika lugha ya Kibemba,
↧