Bahari ya Hindi yaua watu 10... Sita walikuwa katika Boti ya Kilimanjaro ,...
Watu kumi wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea jana katika Bahari ya Hindi. Katika ajali ya kwanza, watu sita walifariki baada ya boti ya Kilimanjaro II ilipokumbwa na dhuruba...
View ArticleMke wa mtu anyofolewa sikio katika ugomvi wa kimapenzi kati yake na mumewe
Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake. Tukio hilo lilitokea Desemba 16,...
View ArticleHukumu ya Zitto Kabwe yaahirishwa hadi kesho saa nane mchana
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Zitto Kabwe na CHADEMA na badala yake hukumu hiyo itatolewa kesho saa 8:00 mchana. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama hiyo, kesi...
View ArticleBaadhi ya picha za wakazi wa mkoa wa Iringa wakiuaga mwili wa Waziri wa Fedha...
Hizi ni picha za wakazi wa mkoa wa Iringa wakiuaga mwili wa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa aliyefariki tarehe moja ya mwezi huu- 2014 saa tano asubuhi kwenye hospitali aliyokua...
View ArticleFreeman Mbowe amjibu Zitto Kabwe....Anasema kupewa pesa na CCM si tatizo,...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, jana alishusha tuhuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, zikimhusisha na ufisadi. Tuhuma hizo ziliibuka baada ya Mwanasheria Mkuu wa...
View ArticleRais Kikwete aongoza maelfu ya wananchi wa Iringa waliojitokeza kumzika...
MAELFU ya wakazi wa mkoa wa Iringa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na Serikali wakiongozwa na Rais Dr Jakaya Kikwete wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa mbunge wa...
View ArticleNimrod Mkono Akanusha kumhonga Zitto Kabwe magari mawili....Anadai kwamba...
TAMKO KUHUSU YANAYOENDELEA CHADEMA MH. MKONO KUMPATIA MH. ZITTO MAGARI MAWILI Nimesikitishwa na jinsi Chama kikuu cha upinzani ambavyo kwa siku za hivi karibuni kimeingia katika migogoro ambayo...
View ArticleVideo: Diamond Platnumz Feat. Davido – Number One ‘Remix’
Tazama hapa video mpya kutoka kwa Diamond Platnumz ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu akiwa amemshirikisha Davido kutoka Nigeria kwenye remix ya ngoma yake ‘My Number One’.
View ArticleBinti wa miaka 15 atekwa kwa siku tatu na kubakwa huko Makete, Njombe
Na Edwin Moshi,Makete Jeshi la polisi wilayani Makete mkoani Njombe linamshikilia Fransis Pilla (36) mkazi wa kijiji cha Iwawa na kata ya Iwawa wilayani hapa kwa makosa mawili ya utekaji nyara na...
View ArticleWanafunzi wenye virusi vya UKIMWI mkoani Pwani wawalalamikia walimu wao
BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya. Wametaka Serikali na asasi...
View ArticleCHADEMA yakituhumu chama cha CUF kwa kuandaa vijana wenye panga na marungu...
MGOGORO unaoendelea Chadema umefikia hatua ya kuanza kutafuta mchawi ndani na nje ya chama hicho, ambapo sasa kimeishika CUF na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwa madai ya kumwunga mkono...
View ArticleZitto Kabwe atoa kauli nzito.....Asema wapinzani ( Dr. Slaa ) wakishika dola...
ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametoa kauli nzito, baada ya kusema viongozi wa vyama vya siasa wanaopekua...
View ArticleKesi ya Jack Patrick kuanza kusikilizwa mwaka 2016....Wachina wampa mwaka...
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Mrembo huyo alikamatwa Desemba...
View ArticleUnyama: Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke ambaye chama hicho kinamtuhumu...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph Yona ambaye chama hicho kinamtuhumu kushirikiana na CUF kumuunga mkono Zitto Kabwe amepigwa na watu...
View ArticleBaadhi ya picha kutoka nje ya mahakama kuu Dar kabla ya hukumu ya Zitto Kabwe
Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa. <!-- adsense -->
View ArticleZitto Kabwe ashinda hukumu ya kesi yake.....Mahakama yaizuia kamati kuu ya...
LEO macho na maskio ya watanzania hasa wafuasi na wapenzi wa CHADEMA yalielekezwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,pale ambapo Jaji wa Mahakama hiyo Jaji John Utumwa alikuwa...
View ArticleMwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto Kabwe ajiunge na CCM au CUF...
Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi. Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri...
View ArticleMwanamke wa kitanzania anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar...
KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya nchini, kimemkamata mwanamke mmoja Mtanzania akiwa amebeba kete 63 za dawa za kulevya aina ya heroine. Mwanamke huyo, Salama Mzara mkazi wa Mbagala,...
View ArticleRAY C AFUNGUKA.... BADO NIPO SINGLE JAPOKUWA NASUMBULIWA
Akiongea na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume...
View ArticleMH. NDESAMBURO AELEZA KUWA CHADEMA NI MTI WA MATUNDA
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), amesema matatizo yanayokikumba chama hicho kwa sasa yanatokana na kundi la watu wachache wenye uchu wa madaraka, ambao pia wanatumiwa na Chama Cha...
View Article