MAELFU ya wakazi wa mkoa wa Iringa na baadhi ya
viongozi wa vyama vya siasa na Serikali wakiongozwa na Rais Dr
Jakaya Kikwete wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa mbunge wa
jimbo la Kalenga na waziri wa fedha Dr Wiliam Mgimwa.
Waziri mkuu Mizengo pinda katika salam zake za serikali ameeleza
jinsi Taifa lilivyopata pigo kubwa kufuatia kifo cha Dr
↧