MBUNGE wa Kigoma
Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, jana alishusha tuhuma nzito dhidi ya
Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, zikimhusisha na ufisadi.
Tuhuma hizo ziliibuka baada ya
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, kumtuhumu Zitto Kabwe mbele ya waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam kwamba Zitto amepewa magari mawili na Mbunge wa
Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono; ambaye
↧