HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa
ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani)
zinazidi kumuumiza mrembo huyo.
Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege
wa Macau akitokea Bangkok, Thailand akiwa na kete 57 (kilo 1.1) za unga
aina ya heroin tumboni zikiwa na thamani ya shilingi milioni 300.
TAARIFA
↧