ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametoa kauli
nzito, baada ya kusema viongozi wa vyama vya siasa wanaopekua
mawasiliano ya raia ni hatari kwa nchi na kwamba wakishika dola, raia
wao hawatapona.
Kauli ya Zitto imekuja siku moja tu baada ya
Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, kuutangazia umma
↧