MGOGORO unaoendelea Chadema umefikia hatua ya kuanza kutafuta mchawi ndani na nje ya chama hicho, ambapo sasa kimeishika CUF na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwa madai ya kumwunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Kabwe Zitto.
Juzi wakati akitangaza kuwavua uanachama aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama hicho, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa
↧