BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.
Wametaka Serikali na asasi za kiraia kusaidia kushughulikia walimu na wanajamii wanaoshawishi watoto kwa ujumla kuingia kwenye uhusiano nao wa kimapenzi.
Wamesema changamoto hiyo, husababisha baadhi kupata tabu
↧