Na Edwin Moshi,Makete
Jeshi
la polisi wilayani Makete mkoani Njombe linamshikilia Fransis Pilla
(36) mkazi wa kijiji cha Iwawa na kata ya Iwawa wilayani hapa kwa
makosa mawili ya utekaji nyara na ubakaji kwa binti mwenye umri wa
miaka 15 ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akiongea
na vyombo vya habari wilayani hapa afisa upelelezi wa jeshi la polisi
wilaya ya Makete Bw
↧