Akiongea
na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume
si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini
amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.
“Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.”
Kuhusu
nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa
↧