Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Zitto Kabwe na CHADEMA na badala yake hukumu hiyo itatolewa kesho saa 8:00 mchana.
Kwa
mujibu wa taarifa za mahakama hiyo, kesi hiyo imeahirishwa mpaka kesho
mchana kwa sababu hakimu anayesikiliza kesi hiyo hajamaliza kuandika
hukumu ya kesi hiyo.
<!-- adsense -->
↧