Video ya Edward Lowassa akiitangaza Safari yenye matumaini kwa watanzania,...
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ametangaza kuanza safari ya kutimiza ndoto zake,Safari ambayo kila mtanzania atapata elimu bora na ya bure... Sikiliza hotuba yake ya mwaka mpya 2014 hapo...
View ArticleSerikali yatoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe.William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Mazishi ya aliyekuwa waziri wa Fedha Marehemu Dk. William Mgimwa akiongea na...
View ArticleRose Ndauka apata mtoto wa kike.....
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Akizungumza na Ijumaa, Rose Ndauka...
View ArticleWanakwaya wa kanisa katoliki wapigwa bomu jijini Arusha , sita wajeruhiwa,...
WANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru baada ya kujeruhiwa kwa bomu. Walikutwa na...
View ArticleCCM yatoa onyo kwa wanachama wake walioanza kupiga kampeni za chini chini...
Chama cha mapinduzi CCM kimetoa onyo kwa baadhi ya wanachama wake wanaoanza kufanya kampeni za chini kwa chini kabla ya muda kutangazwa na kuwataka kuacha mara moja. Akibainisha hayo Jijini Dar es...
View ArticleMajibu ya Mh.zitto Kabwe kwa kamati kuu ya Chadema, juu ya mashtaka 11 dhidi...
Our Ref: ZZK/12/13 10.12. 2013. Mh. Katibu MKuu, Chama Cha Demokrasia Na Mendeleo HSE NO 170, UFIPA STREET, KINONDONI S. L. P 31191 Dar es Salaam – Tanzania. YAH: MASHATAKA YA UKIUKWAJI WA KATIBA,...
View ArticleHatima ya Pingamizi la Zitto Kabwe kujulikana Jumatatu...Wafuasi wa CHADEMA...
Leo ilikua itoke hukumu ya kesi iliyopo baina ya Zitto Kabwe na CHADEMA ambapo kulikuwa na mabishano makali ya kisheria dhidi ya pande zote mbili . Hukumu hiyo haijatolewa na badala...
View ArticleBenki kuu ya Tanzania yatoa Sarafu ya sh. 50, 000 kama kumbukumbu ya miaka 50...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu *** BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. Gavana wa...
View ArticlePadri wa kanisa katoliki aliyemzalisha muumini wake na kisha kumtelekeza...
KESI iliyokuwa ikimkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa fedha za matunzo kwa mwanawe, jana ilifikia ukingoni baada ya mlalamikiwa kuamua kulipa jumla ya Sh...
View ArticlePenny amchamba Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za...
Penny ambaye ni mpenzi wa zamani wa Naseeb Abdul "Diamond" haonekani kujutia kitendo cha kumwagana na msanii huyo na badala yake sasa ameanza kuzipa uzito hoja za kumpiga...
View ArticlePolisi yakiri kuwapiga bomu wanakwaya sita wa kanisa katoliki mkoani Arusha
Siku moja baada ya taarifa ya kupigwa bomu wanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga, Usa River, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amefafanua kuwa polisi...
View ArticleMwili wa Waziri wa Fedha aliyefariki Afrika kusini wawsili nchini
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu...
View Article"Matusi yenu kwangu ni hamasa ya kusonga mbele, Hata ukiwa mwema kiasi gani,...
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo ** Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu. Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi...
View ArticleAskari wawili wakamatwa baada ya kumteka mfanyabiashara na kisha kumpora...
Askari mwenye cheo cha sajini katika Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa...
View ArticleCHADEMA watwangana ngumi tena.....Awamu hii ni ndani ya kikao kilichokuwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Shaaban Mwamba, juzi usiku alipata kipigo kutoka kwa maofisa wa kikundi cha ulinzi cha chama hicho waliokuwa katika eneo ambalo...
View ArticleRais Kikwete apokea matembezi ya UVCCM leo wakati wa kusherehekea miaka 50 ya...
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014....
View ArticleMwili wa Marehemu William Mgimwa ambaye alikuwa ni waziri wa fedha waagwa...
Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa viwanjani hapo wakati wa shughuli za kuaga. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama...
View ArticleDr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wavuliwa uanachama wa CHADEMA
Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema. KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden,...
View ArticleZitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni...
Akizungumza katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari iliyofanyika leo, Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mh.Tundu Lisu alisema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo...
View Article"Mwaka 2014 kiongozi mmoja wa kisiasa atakuwa kichaa, utatokea msiba wenye...
Aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, Shehe Yahya Hussein. ** MRITHI wa kazi za marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Hassan Yahya Hussein, amesema mwaka 2014 kuna kiongozi wa kisiasa na kijamii mwenye...
View Article