Chama cha mapinduzi CCM kimetoa onyo kwa baadhi ya wanachama wake
wanaoanza kufanya kampeni za chini kwa chini kabla ya muda kutangazwa na
kuwataka kuacha mara moja.
Akibainisha hayo Jijini Dar es salaam Makamu mwenyekiti wa chama hicho
Tanzania bara Philip mangula amesema ibara ya 33 kifungu kidogo cha
kanuni za CCM kinakataza mtu yoyote kufanya kampeni za aina yoyote
kabla ya
↧