Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema.
Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema.
KAMATI Kuu ya Chadema
iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar
es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba
kuanzia jana.
Maamuzi hayo ni baada ya kunasa
mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na
↧