Akizungumza katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari
iliyofanyika leo, Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mh.Tundu Lisu alisema
kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama
kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa
akiwasiliana na akina Denis Msack wa Mwananchi.
Lissu alisema njama hizi
ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya
↧