Aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, Shehe Yahya Hussein.
**
MRITHI wa kazi za marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Hassan Yahya
Hussein, amesema mwaka 2014 kuna kiongozi wa kisiasa na kijamii mwenye
hadhi kubwa hapa nchini atarukwa akili.
Akizungumza Dar es Salaam jana kuhusu utabiri wake wa mwaka 2014,
Hussein, alisema kutokana na mwaka kuanza Jumatano ambayo ni mbaya, hali
↧