Leo ilikua itoke hukumu ya kesi iliyopo baina ya Zitto Kabwe na CHADEMA ambapo kulikuwa na mabishano makali ya kisheria dhidi ya pande zote mbili .
Hukumu hiyo haijatolewa na badala yake mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeamua kuahirisha kesi hiyo
mpaka jumatatu ya tarehe 6 Januari saa 4 asubuhi ambapo hukumu juu ya
madai yaliyopo mahakamani itatolewa.
Nje ya
↧