STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia
ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na Ijumaa, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana
Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya
njema.
“Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana
nimejifungua
↧