Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe.William
Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Mazishi ya
aliyekuwa waziri wa Fedha Marehemu Dk. William Mgimwa akiongea na
waandishi wa Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu mwili wa marehemu
kuwasili tarehe nne saa saba mchana uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Nyerere na Shirika la Ndege la
↧