Askari mwenye cheo cha sajini katika Gereza la Ruanda na polisi
mwenye cheo cha konstebo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya,
wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa
kuteka gari na kupora fedha na mali katika eneo la Mlima wa Kawetere,
Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.
Inadaiwa kuwa katika tukio hilo, watuhumiwa walipora Sh3.5 milioni na
↧
Askari wawili wakamatwa baada ya kumteka mfanyabiashara na kisha kumpora milioni 3 na vitu vingine
↧