Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo
**
Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu.
Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza
mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi gani utakuwa na maadui, Yesu
alikuwa nao, Mtume Muhammad alikuwa nao, Mandela alikuwa nao na hata
Mahatma Gandhi alikuwa nao.
Hata ufanyeje maadui watakuwepo tu, utapingwa,
↧