Wabunge watatu ambao ni wauzaji wa dawa za kulevya wajisalimisha kwenye...
Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya...
View ArticleWatu watano wachomwa moto na wananchi wenye hasira kwa madai ya kuiba mchango...
Watu watano wamekufa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kwa madai ya kuiba mchango wa rambirambi Sh. 65,000. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana saa 7.30 mchana baada ya watuhumiwa...
View ArticleHotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha...
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2013 Utangulizi Ndugu zangu; Watanzania Wenzangu; Niruhusuni...
View ArticleDiamond afunga mwaka kwa kutoa burudani ya nguvu kwa wakazi wa Mkoa wa Lindi
Katika heka heka za kuaga mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo mji wa Lindi ulitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kushuhudia onyesho la Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond...
View ArticleWakazi wa jiji la Dar walivyoukaribisha mwaka mpya ndani ya uwanja wa...
Wakazi wa jiji la Dar walivyoukaribisha mwaka mpya ndani ya uwanja wa burudani wa Dar Live Picha zote na Issa Mnally / GPL
View ArticleHappy New Year 2014....Asanteni wasomaji wetu kwa sapoti mliyotupa mwaka 2013
Timu nzima ya mtandao huu inapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wetu wote popote walipo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla.... Moyo usio na shukrani hukausha baraka...
View ArticleUlinzi waimarishwa jijini Dar....Polisi yatangaza kufanya doria kwa...
POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetangaza leo kufanya doria kwa kutumia helikopta ili kuangalia hali ya usalama katika jiji hilo katika sikukuu ya Mwaka Mpya. Aidha, imepanga kushirikiana na...
View ArticleWakati mgomo wa wafanyabiashara jijini Mwanza ukiingia siku ya tatu leo, TRA...
Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD)....
View ArticleSad News: Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa afariki dunia....
Waziri wa Fedha, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, William Mgimwa amefariki dunia leo akiwa hospitali ya Mediclinic Kloff, Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa. Dr. Mgimwa alikuwa...
View ArticleBaraza la mawazi laiva....Mawaziri, wabunge waitwa Dar, Dk. Nchimbi,...
RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya wabunge na mawaziri wakitakiwa kusitisha mapumziko yao ya mwisho wa mwaka na kurejea jijini...
View Article"Siri ya mafanikio yangu ni Martin Kadinda...Yeye ndo mtu pekee aijuaye siri...
MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda....
View ArticleRais Kikwete aomboleza kifo cha waziri wa Fedha, mh. William Mgimwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William Mgimwa, aliyekuwa pia Mbunge wa...
View ArticleWaziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akaribishwa CHADEMA kwa mikono...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kimesema wanaombeza kwa madai kwamba...
View ArticleRais Kikwete awapongeza mawaziri waliojiuzulu.....Asema wameonyesha ukomavu...
Rais Jakaya Kikwete, amewapa pole mawaziri wanne waliofutwa nyadhifa zao kutokana na matatizo yaliyowakuta na kuwapongeza kwa uamuzi wa kukubali kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na maofisa wa chini...
View ArticleAibu yamfanya Ray ashindwe kupiga busu Lulu Michael....
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu....
View ArticleMchungaji Peter Msigwa asisitiza kuwa Zitto Kabwe ni lazima avuliwe uanachama...
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto. “Kuna mlolongo wa mambo yaliyofanya...
View Article"Nimeanza safari yenye matumaini makubwa kwa Watanzania kwa kuwa itakuwa na...
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda. Lowassa...
View Article"Natamani na naomba sana Jack Cliff ANYONGWE na afe kabisa "...Hii ni kauli...
Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana,...
View ArticleZitto Kabwe aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe leo ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania,Kanda ya Dar es Salaam kuweka pingamizi la kisheria kuzuia Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA...
View ArticleKauli ya Zitto Kabwe baada ya Mahakama jana kumpa ushindi dhidi ya CHADEMA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe jana alitinga mahakama kuu kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa kikutane leo. Hii ni kauli yake baada ya...
View Article