Watu watano wamekufa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kwa madai ya kuiba mchango wa rambirambi Sh. 65,000.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana saa 7.30 mchana baada ya watuhumiwa kushambuliwa wakiwa mikononi mwa walinzi wa jadi (sungusungu).
Watu hao walidaiwa kuiba mchango huo juzi usiku nyumbani kwa John Ibarabara. Chanzo cha tukio hilo kinadai kuwa watuhumiwa hao
↧