Baada
ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano
wakiwemo wabunge watatu wa CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya
dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha
na maadili nje na ndani ya makanisa.
Katika mahojiano maalum na NIPASHE Mwenyekiti wa Kamati ya maadili na
haki za binadamu kwa jamii nje na ndani ya madhehebu ya dini,
↧