STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati
mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake
ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu.
Akizungumza katika kituo kimoja cha runinga cha jijini Dar hivi
karibuni, Ray alisema licha ya kuwa Lulu alikuwa anastahili kuigiza
katika sinema ya Woman Principle miaka kadhaa iliyopita,
↧